Mtunzi..........amani mlele
WhatsApp..0744099180
Location............njombe
Chapte................1
🔞🔞🔞🔞🔞🔞🔞
Nikika mwenyewe juu yakitanda, kunamambo yalikua yananitatiza akilini sana nakunipa mnyong'onyeo.
Hasa nilipo ona vijana lika yangu wako ndani ya mahusiano, tena kunakitu kigeni kwangu wana peana kinaitwa mapenzi.
Sikupata jawabu, rakini nilijiwazia mimi kama kijana wakiume tena Rejar nafeli wapi, nikagundua tatizo woga ndio unao niweka pabaya.
Ule mtaa ninao ishi mimi ulikua sihaba, nimtaa ulio jaa wanawa wakila aina hakika walinipa tabu.
nilibaki kuwatazama kwamacho, mdomo ulikua mzito kusema chote mbele yao.
Nakumbuka siku moja nikiwa nimetoka kwenye misele yangu, kama ilivyo ada saa kuminambili jioni, jua linapo tua nakukipa kiza nafasi.
wakati napita kwenye chocho zile ambazo ziliniepusha nawadada, ambao kila nilipo kutana nao walinisema kupita maelezo.
nilikua nimetingwa nasimu kubwa janja, ambayo nilichomeka Hedphoni ili kusikiliza zile biti ili niandikie mistali, niingie studio kama mwanamziki wakizazi kipya.
Eheeee Leo nimekubamba” hii sauti niliisikia kwa mbali sana sikutilia manane, nikaendelea kua bize na macho kuganda kwenye kio chasimu nasio mbele.
hatua zangu zilikua hafifu sana huku nikiyumba yumba na kuiacha njia, nilishitulia nikigonga kitu.
hapo nikayainua macho juu sikuamini, nilikutana nasura ya mrembo ambae namjua anaitwa Zuhu, nijirani mtoto wa mwalimu arphonzi.
Mapigo ya moyo yaliganda kabisa huku nikibaki nimekodoa macho, Hakika njinsi alivyo nikazia macho huku akitabasamu.
nikajikuna nayapeleka pembeni macho yangu, kwa aibu sana huku nikitaka kumkimbia, mana sikuwahi gusana na mdada yeyote.
Usifanye hivyo Amani, nimevumilia sana leo nimeamua kukungojea hapa..” Zuhu aliyaongea huku akiwa ameushika mkono wangu ili nisimponyoke, huku akitetemeka kwa woga huku akijiuma uma kucha za vidole.
🍎Njooo wtsapp 0744099180 na elf 1500 yako utaipata ikiwa full epsode.
